welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Thursday, November 3, 2011

SALMA SHEBY MWENYEWE HUYOOOO..

 Akiingia ukumbini kwa upole mwenyewe, it was her kitchen party jaman,
 Heee music ukaanza kunoga bwana, taratibu mama shabani anaanza kujiachia
 uzalendo ukamshinda mwenzangu mapaka chini mtoto alienda. akaanza kupanda na kushuka.
 Hapo sasa kwa maringo zaidi, Conglaturation mdogo wangu hatimaye waelekea kuwa Mrs. Sheby wa ukweliii

 Kiduku pia alishtua kidogo


 Asante jaman wagen waalikwa nashukuru kwa kuja na support mliyonipa.


 Bi harusi wetu na mtoto wa mzee hoya hapo hataki utani. Asante sophy kwa kuja karibu na kwenye harusi tena


Marafiki zake walikuwepo Kumpa support. hizi ni chache matukio yote yanakuja jaman, Stay tunned tu.

No comments: