welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Monday, January 14, 2013

Baba na mwana

Denzel Washington

Denzel Washington and his daughter Olivia Washington walipohudhulia Tunzo za Golden Globe ndani ya  Beverly Hilton in Beverly Hills.

winners of Golden Globes Awards 2013

Jennifer Lawrence
Jennifer Lawrence, ashinda kama  Best Actress in a Motion Picture inayoitwa -  "Silver Linings Playbook," I liked her speech.
Congratulations, Jennifer. naimani zinakuja nyingi sana kwa upande wako mwaka huu!
 
 Anne Hathaway
Anne Hathaway, winner of Best Performance by a Supporting Actress in a Motion Picture - Musical or Comedy for "Les Misérables, Very well deserved! Her performance in Les Miserable was phenomenal one of my best movie.
Ben Affleck,
Best Director...Actor-director Ben Affleck, amedirect movie inayokwenda kwa jina la Argo. Congratulations to Ben
Jessica Chastain
ndani ya drama ya  for "Zero Dark Thirty," Jessica Chastain,Best Actress
Jessica Chastain, winner of Best Actress in a Motion Picture - Drama for "Zero Dark Thirty,"
Adele
Singer Adele, kama ushaona Skafall kuna ule wimbo ule unaimbwa mwanzo ndo yeye sasa. so alishinda kama the Best Original Song for "Skyfall,"
 

Thursday, January 10, 2013

2013 BAFTA Awards zinakuja and here are nomenees

Helen Mirren

 
                    

Lincoln

Nominated in 10 categories including Best Film, Leading Actor (Daniel Day-Lewis), Supporting Actor (Tommy Lee Jones) na Supporting Actress (Sally Field)


Javier Bardem

Supporting Actor, Skyfall
 

Argo

Nominated in six categories including Best Film, Leading Actor (Ben Affleck) and Supporting Actor (Alan Arkin
 


Brave


Animated Film

 

Les Misérables

Nominated in nine categories including Best Film, Leading Actor (Hugh Jackman) and Supporting Actress (Anne Hathaway

Tuesday, January 8, 2013

Lionel Messi .....fourth time in a row


PHOTO: FC Barcelona's Argentinian striker Lionel Messi poses with the trophy after being awarded the FIFA Men's World Player of the Year during the FIFA Ballon d'Or Gala 2012 held at the Kongresshaus in Zurich, Switzerland, Monday, Jan 7, 2013. Messi was


Barcelona and Argentina star Lionel Messi has been named world footballer of the year kwa mara ya nne, Mercy amewashinda wenzie wawili waliokuwa wanagobea category hyo ambao ni Andres Iniesta and Cristiano Ronaldo.

Messi scored 91 goals and set up another 22 in just 69 games during the 2012 calendar year, breaking the 40-year goal record set by German legend Gerd Müller.

Messi said "I want to share this with my Barcelona team mates and my Argentina team mates." alipokuwa akitoa neno la shukrani

Tuesday, January 1, 2013

Hugh Hefner Amua kufunga ndoa tena

Ni maarufu kwa jina la Playboy, if you know the Playboy magazine bas utakuwa unamjua vizuri sana, Hugh mwenye miaka 86 sasa usiku wa kuamkia mwaka mpya ameamua kufunga ndoa na girlfriend wake ambae pia ni model Crystal Harris ambae ana umri wa miaka 26. 

sherehe ya ndoa yao ilifanyika ndani ya Playboy Mansion in Los Angeles. hii ni ndoa ya tatu ya huyu mzee,

TOP 5 ya movie zilizoingiza mapato ya juu kabisa kwa mwaka 2012

No 1.
  this is Marvel's The Avengers. mapato kwa ujumla yalikuwa ni: $623,357,910 kwa mwaka.
   Is the most enjoyable movie ....Robert Downey Jr was great as usual... kama hujaiona fanya mpango uitafute.
   
  No 2 is. The Dark Knight Rises, the Total Gross: $448,139,099. hii ni movie ya Tatu katika series zake mbili zilishatoka. this movie ndio ile iliyoleta maafa usiku wa uzinduzi ambapo kulitokea mauji.
  No 3. ni The Hunger Games, Mapato yake ni: $408,010,692, is the Great movie, ni moja ya picha ambazo zinatokana na novels
   

   
  No 4. SkyfallTotal Gross: $289,600,000 .
  James Bond is Back, for all James Bond Fans, this is yours.
   
   
   And No 5. 5. The Twilight Saga: Breaking Dawn - Part 2, The Total Gross: $283,023,753.
  The Saga continue, after Part 1 did  wonders now is 2 ts all about vampire, ni movie from the novels,

Congrats to Kim Kardashian & Kanye West!

may be this time will work, the star of reality show "keeping up with the Kardashian amekiri mwenyewe kuwa anaujauzito wa mpenzi wake mwanamuziki Kanye West. ikumbukwe kuwa Kim alishawahi kufunga ndoa iliyodumu kwa siku kama miezi miwili hv na zaidi. so we hope this relationship will go far haitakuwa kama ile ya mwanzo ingawa na Kanye bado hawajafunga ndoa. pamoja wanajiita KIMYE... may be mtoto wao ataitwa hvo? mtazamo tuu msiniquote.

 
Kim's first appearance since announcing she is expecting a baby.

Happy New Year!

Happy New year To all Viewers,, and now we looking forward to the exciting things to come in 2013, as people said mwaka mpya na mambo mapya.  this is the year of favor. just keep browsing. we love u all...