welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Saturday, November 24, 2012

CRISS BROWN IN BERLIN LAST NIGHT

 it was the show to kill, waiting for next show, inakuja South Africa December hii kwa wale wapenzi wake mnaweza kuisafiria

Wednesday, November 14, 2012

The Saga continue. "Breaking Down Part 2 premier

as usual  sio mzoefu sana wa viayu virefu so sometimes inabiodi vibebwe tu mkononi, all in all Kristen Stewart looks better in Her trasnsparent gown.
 
They deserve each other
 
Very nicely dressed. He's a good lookin' dude.

Monday, November 12, 2012

New baby in Town

karibu Baby Sameer Shaban kwenye liulimwengu lote na we ujionee vituko vya dniani mwaya
kama mwarabuuu vileee, 

Thursday, November 8, 2012

Our new Ambassador.

this is our new Miss Tanzania ambae atatuwakilisha mwakani katika mashindano ya Miss world

Wednesday, November 7, 2012

This November

The Twilight Saga: Breaking Dawn - Part 2" - 2012 Premeer is 12 Nov and in Theatre Nov 16.

 Yeah that's my Bella turns into Super Woman!
 
OOOh i feel sorry for her father..
 
Can't wait to see the movie,
 
How Bella is going to face her father?

No way out,  He has to accept the facts.

SHUKRAN...
Rais wa Marekani Barack Obama amewashukuru wote waliojitolea kwa moyo mmoja ikiwa ni pamoja na  baadhi ya wafanyakazi kwa kujitolea juu yake katika kipindi chote cha kampeini mpaka siku ya uchaguzi, Novemba 6, 2012, na alimpongeza mpinzani wake Mitt Romney katika kampeni zake.

Saturday, November 3, 2012

Baby Nichelle


Cute Nichelle unakua jaman, mungu akuzidishie ukue haraka maana i cant wait to see ukishauwa mdada utasumbuaje sasa? dady wako anakazi hapo inabid atafute weapons za kutosha.

SOTE ni NDUGU