welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Monday, August 29, 2011

another from Mustafahassanali


RED CARPET -2011 MTV Video Music Awards


X -girfriend wa Kanye West model Amber Rose walikuwepo na Mpz wake Wiz Khalifa.
 

Kim Kardashian, ye alitoka honeymoon alipokuwa nchini Italy ili aweze kuhuduria  MTV awards
Kelly Rowland
Mwanamuziki JoJo,akiwa ndani ya  black dress -- that looked a little like a trash bag -- with sky-high black pumps.

Kucha Hzo za Nicole on MTV's 'Jersey Shore' photographed katika red Carpet.


Beyonce alitangaza rasmi kuwa ni mjazito katika red carpet hiyo ya MTV awards with a red one shouder long dress

Thursday, August 25, 2011

What to wear inside the Wedding Gown
Spanx seem to very popular. Sometimes your gown requires a full slip or petticoat. Also don't forget bras, stockings, etc
Actually it depends on the dress. you want to be comfortable.

Depending on your dress you may need a bra to help keep the girls from popping out when your dancing or help them sit "high and tight"
Proper undergarments would be anything that helps you feel more comfortable in your dress all day and looks good in pictures.


Strapless bras
strapless dresses require strapless bras the ones that come down across your stomach and lower back help it stay in place with all the dancing and such compared to your typical bra with removable straps.
Best for the girls who don’t need waist-line control.
The Bustier
it hot sex and best for strapless dresses also and big boobs
The long-line Bra
Uses elastic to hold your tummy in (you can also try waist-cinchers), and your boobies up.
The Nu Bra
it is best for backless or low back dresses smaller (not DD+) boobies people not allergic to adhesive

Wednesday, August 17, 2011

Fashionista wetu anga za Kagera

Fashionista wa ukweli na bibi harusi mtarajiwa totooo salma, looking good ndani ya Jeans na Kiatu chake na kikoti kwa juu, mpangilio mzuri wa mavazi. big up toto ya kagera

Monday, August 15, 2011

Victoria Beckam denim line clothes


walivaa sare na Fergie, mwanamuziki wa kundi la Black eyed peas. Hizi ni clothing line zake mwenyewe na hupenda kujipa promo mwenyewe


Ana leggins zake nzuri, zina zipu flan za dizaini. and for those who love leather pants hapo ndio penyewe kam hizo hapo
Pia ana skinny denim jeans zake, its very nice and mart.
JEANS: vazi lisiloisha fashion

A skinny boyfriend jeans are so hot. hata Kim K, anayo ya kwake.hizi zinaitwa Women's boyfrined jeans.

Friday, August 12, 2011

Miss Tanzania Yaanza Kuiva


Meneja wa Kinywaji cha Redd's ambao ni wadhamini wa mashindano ya urembo ya Kanda zote za Tanzania, Victoria Kimaro, (katikati) akizungumza na wanyange wanaowania taji la Miss Tanzania, Dar es Salaam jana, warembo hao wanatarajia kuanza ziara leo katika mikoa ya Morogoro, Arusha na Moshi kwa ajili ya kutembelea vivutio mbalimbali.

Tanzania Women Entrepreneurs & Network Development Exposition (TWENDE)


Friday, August 5, 2011