welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Monday, August 15, 2011

Victoria Beckam denim line clothes


walivaa sare na Fergie, mwanamuziki wa kundi la Black eyed peas. Hizi ni clothing line zake mwenyewe na hupenda kujipa promo mwenyewe


Ana leggins zake nzuri, zina zipu flan za dizaini. and for those who love leather pants hapo ndio penyewe kam hizo hapo








Pia ana skinny denim jeans zake, its very nice and mart.








No comments: