welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Friday, August 12, 2011

Miss Tanzania Yaanza Kuiva


Meneja wa Kinywaji cha Redd's ambao ni wadhamini wa mashindano ya urembo ya Kanda zote za Tanzania, Victoria Kimaro, (katikati) akizungumza na wanyange wanaowania taji la Miss Tanzania, Dar es Salaam jana, warembo hao wanatarajia kuanza ziara leo katika mikoa ya Morogoro, Arusha na Moshi kwa ajili ya kutembelea vivutio mbalimbali.

No comments: