welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Tuesday, November 5, 2013

FRESHER'S BALL PARTY- College of agriculture and Natura resources (CANRE)

meza kuu ilipambwa na wakurugenzi pamoja na wageni Waalikwa
 CANRE ni chuo cha kilimo na mali asili na hii ni sherehe yao ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza kama walivoandaliwa na uongozi wa chuo
 Meza kuu walifungua Mziki pamoja na viongozi wa chuo cha kilimo
wanafunzi nao hawakubaki nyuma walijimwaga kama hivo
 Asiejua step alikaa mstari wa nyuma, Papaa Meshack

 Baadhi ya viongozi wakiwa mbele wakati wa kula kiapo cha kuapishwa kama viongozi
 And the Mr and Miss CANRE wakatangazwa hao hapo. Sayi Johola and Hadija Shomari
Mr CANRE akitoa ya kwake ya moyoni kuelezea furaha yake
 Muda wa msosi nao ukawadia,, Maadam kwa mbaliii ametokelezea
 Kulikuwa na fashion shoo nyingi moja wapo ilifanywa na hao madel wetu Diana Mussa na Elizabethy kessy
 Baba laoo
 Hee lucy huyo na best akeee

GREEN CARPERT HIYOO. hiki ni chuo cha kilimo so hakuna red carpert tunaonyesha asili yetu ya kilimo. tulipozi kwenye majani tu

 Pozi kwa pozii

Vice president na baba lao nao walipozi kwenye green carpet

 Wakiweka pozi kwenye
b
Double D na Babu ndani ya pozi