welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Tuesday, January 1, 2013

Congrats to Kim Kardashian & Kanye West!

may be this time will work, the star of reality show "keeping up with the Kardashian amekiri mwenyewe kuwa anaujauzito wa mpenzi wake mwanamuziki Kanye West. ikumbukwe kuwa Kim alishawahi kufunga ndoa iliyodumu kwa siku kama miezi miwili hv na zaidi. so we hope this relationship will go far haitakuwa kama ile ya mwanzo ingawa na Kanye bado hawajafunga ndoa. pamoja wanajiita KIMYE... may be mtoto wao ataitwa hvo? mtazamo tuu msiniquote.

 
Kim's first appearance since announcing she is expecting a baby.

No comments: