welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Tuesday, January 1, 2013

TOP 5 ya movie zilizoingiza mapato ya juu kabisa kwa mwaka 2012

No 1.
    this is Marvel's The Avengers. mapato kwa ujumla yalikuwa ni: $623,357,910 kwa mwaka.
     Is the most enjoyable movie ....Robert Downey Jr was great as usual... kama hujaiona fanya mpango uitafute.
     
    No 2 is. The Dark Knight Rises, the Total Gross: $448,139,099. hii ni movie ya Tatu katika series zake mbili zilishatoka. this movie ndio ile iliyoleta maafa usiku wa uzinduzi ambapo kulitokea mauji.
    No 3. ni The Hunger Games, Mapato yake ni: $408,010,692, is the Great movie, ni moja ya picha ambazo zinatokana na novels
     

     
    No 4. SkyfallTotal Gross: $289,600,000 .
    James Bond is Back, for all James Bond Fans, this is yours.
     
     
     And No 5. 5. The Twilight Saga: Breaking Dawn - Part 2, The Total Gross: $283,023,753.
    The Saga continue, after Part 1 did  wonders now is 2 ts all about vampire, ni movie from the novels,

No comments: