welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Tuesday, January 1, 2013

Hugh Hefner Amua kufunga ndoa tena

Ni maarufu kwa jina la Playboy, if you know the Playboy magazine bas utakuwa unamjua vizuri sana, Hugh mwenye miaka 86 sasa usiku wa kuamkia mwaka mpya ameamua kufunga ndoa na girlfriend wake ambae pia ni model Crystal Harris ambae ana umri wa miaka 26. 

sherehe ya ndoa yao ilifanyika ndani ya Playboy Mansion in Los Angeles. hii ni ndoa ya tatu ya huyu mzee,

No comments: