welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Monday, November 7, 2011

MISS WORLD

HATIMAYE kitendawili cha nani ataibuka Malkia wa Dunia 2011, kimeteguliwa kwa Miss Venezuela2011, Ivian Sarcos usiku wa kuamkia leo, Miss Venezuela alifanikiwa kutawazwa kuwa Malkia Mpya wa Taji la Urembo la dunia “Miss World 2011, hulku matumaini ya Tanzania kupitia kwa Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael Kifai yakigonga mwamba kwa mara nyingine tena katika mashindano hayo.

No comments: