welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Monday, November 21, 2011

CHEREKO CHEREKO........ MR. AND MRS SHABANI MKUMBWA

 Ndio ilianza km hivi, waliingia na bonge la dance la nguvu, gauni lilishikwa kupisha dance lichukue nafasi.

    
V.I.P mwenyewe hataki mchezo. Walicheza jamani acheniii tu ilipendeza kupita kiasi.
 Hee bibi namuona  kwa pembeni kwakweli hakutaka Kumiss dance hilo, nae aliselebuka mwenzangu hakubaki nyuma. hapo ni pale maharusi walipofika mbele
 Matayarisho ya Kukata keki yalianza
kwa pamoja tukate....
 hapo sawa...



 Keki ilikabidhiwa pande zote mbili za wazazi kama unavyoona
 
 Wakati wa kutoa neno sasa kwa bwana harusi, VIP huyooo sasaaa
Tukacheze mpenzi kama kawaida

No comments: