welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Monday, November 14, 2011

The Constitutional hill -sehemu unayoweza kujifunza the past of south Afroca


constitutional hill ni moja ya makumbusho muhimu Afrika Kusini - ilikuwa mahakama ya juu katika nchi juu ya masuala ya kikatiba. ndani ya makumbusho haya utajionea maelfu ya watu wa kawaida walivokuwa wakiteswa kikatili na kuadhibiwa kabla ya uhuru nchini humo. kulikuwa na ubaguzi mwingi sana wa rangi kati ya wazungu na waafrika. hebu tuangalie baadhio ya picha za makumbusho haya.


 humu ni ndani ya cello wakati wa kulala na hizi ni stail tofauti ya baadhi ya wafunhgwa walivokuwa wakilala na kila style ina jina lake ingawa sijayashika vizuri.


 hawa ni baadhi ya visitors wanaofika kutembelea makumbusho hayo.
 hili ni gereza la wanawake walipokuwa wkifungwa humo

 huu ubao ni list ya wanawake waliowahi kufungwa humo



inside the museams kuna kumbukumbu nyingi sana za maandishi zilizowekwa na wfungwa mbalimbali ambao walishafungwa katika gereza hili




hii ndio birth day card walizokuwa wakitumiana wafungwa ndani ya cell



hili ni gauni la harusi la mfungwa mmoja wa kike

baadhi ya vyumba vya wafungwa wa kike pia kuna kumbukumbu mbalimbali za maneno walilala wafungwa wa kizungu tu













No comments: