welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Wednesday, November 30, 2011

On my graduation ceremony


 holding the master of art in international relations sasa, .
this is half of my team waliacha shughuli zao zote wakaungana na mtunukiwa
 wawezeshwaji wa shuhuli nzima, Mariam said from dar to dodoma mtoto, chrispina na coordinator mkuu Sophia hoya

mtunukiwa akiwa na super dupa mwezeshaji wa shuhuli mariam said, umetishaaaa mama asante sana

hiki ndicho kilichofuatia baadae baada ya tukio la kutunikiwa lilipoisha
hii ndio ile cake ileeee
kwa juu iliandikwa jina la mtunikiwa
yenyewe ipo kama hvi ina kofia kama ya watunukiwa wa shahada mbalimbali, ndivo ilivodesigniwa
catherine Budoya huyu alifunga safari toka Hanang' kateshi mkoani manyara mpaka dodoma, si mchezo
super dupa coordinator alikuwa mgonjwa hoi lakini hakukubali mpaka alihakikisha mambo yameenda sawa
wawezeshaji hawa chrispina from CBE ya kwake Next year na mam miam said
Ndaiga fashion iliwakilishwa na director mwenyewe David ndaiga alitoka dar es salaam huyuu akiwa na kijana wake wa kazi 
Brothers nao walikuwepo

Monday, November 21, 2011

CHEREKO CHEREKO........ MR. AND MRS SHABANI MKUMBWA

 Ndio ilianza km hivi, waliingia na bonge la dance la nguvu, gauni lilishikwa kupisha dance lichukue nafasi.

    
V.I.P mwenyewe hataki mchezo. Walicheza jamani acheniii tu ilipendeza kupita kiasi.
 Hee bibi namuona  kwa pembeni kwakweli hakutaka Kumiss dance hilo, nae aliselebuka mwenzangu hakubaki nyuma. hapo ni pale maharusi walipofika mbele
 Matayarisho ya Kukata keki yalianza
kwa pamoja tukate....
 hapo sawa...



 Keki ilikabidhiwa pande zote mbili za wazazi kama unavyoona
 
 Wakati wa kutoa neno sasa kwa bwana harusi, VIP huyooo sasaaa
Tukacheze mpenzi kama kawaida

Wednesday, November 16, 2011

The SowetO Again

 upande wa pili wa soweto, sio soweto yote ni ya watu wa hali ya chini, hizi ni nyumba za baadhi ya wananchi wa mji wa Soweto


now it VILAKAZ street mtaa maarufu sana ndani ya SOWETO, pichani ni nyumba ya Nelson Mandela iliopo maeneo ya Vilakazi Sreet

here is outside the desmond Tutu house
 

this place is were the HECTOR PETERSON alipouwawa na kuweka historia ya mtoto wa Africa kila mwaka




byeeee ceee you later

Tuesday, November 15, 2011

MJI WA KIHISTORIA WA SOWETO


Now its Soweto here, watu wengi hufikiria mji wa soweto nwanaisho watu wa hali ya nchi, ila ni kama ilivo nchi zingine kuna poor people na rich people, in Spoweto kuna eneo wanaloishi watu wa hali ya chini na watu wa hali ya juu. tukaone bas.
 hili ni eneo la watu wa hali ya chini panaitwa hostel nyumba za aina hii


hii ndio hali halisi ya eneo la watu wwa hali ya chini, more pict to come wait kwanza kuna mazuri sana ndani ya mji wa kihistoria SOWETo

Monday, November 14, 2011

The Constitutional hill -sehemu unayoweza kujifunza the past of south Afroca


constitutional hill ni moja ya makumbusho muhimu Afrika Kusini - ilikuwa mahakama ya juu katika nchi juu ya masuala ya kikatiba. ndani ya makumbusho haya utajionea maelfu ya watu wa kawaida walivokuwa wakiteswa kikatili na kuadhibiwa kabla ya uhuru nchini humo. kulikuwa na ubaguzi mwingi sana wa rangi kati ya wazungu na waafrika. hebu tuangalie baadhio ya picha za makumbusho haya.


 humu ni ndani ya cello wakati wa kulala na hizi ni stail tofauti ya baadhi ya wafunhgwa walivokuwa wakilala na kila style ina jina lake ingawa sijayashika vizuri.


 hawa ni baadhi ya visitors wanaofika kutembelea makumbusho hayo.
 hili ni gereza la wanawake walipokuwa wkifungwa humo

 huu ubao ni list ya wanawake waliowahi kufungwa humo



inside the museams kuna kumbukumbu nyingi sana za maandishi zilizowekwa na wfungwa mbalimbali ambao walishafungwa katika gereza hili




hii ndio birth day card walizokuwa wakitumiana wafungwa ndani ya cell



hili ni gauni la harusi la mfungwa mmoja wa kike

baadhi ya vyumba vya wafungwa wa kike pia kuna kumbukumbu mbalimbali za maneno walilala wafungwa wa kizungu tu