welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Monday, October 31, 2011

TIME FOR UBUNIFU: MAUA YA ASILI


 Inaanza kama hivi. hayo ni majani na miti mbalimbali inayotuzunguka kwenye mapori yetu hata kwenye makazi yetu pia
 hapa jani moja la mti likiwa lishapigwa msasa kidogo kama kusafishwa tu
 linakaushwa kidogo kwenye jua
 Kazi sasa inaanza na mbunifu wetu ndio huyo na uchafu wake wa majani hapo
 Eeeh ndio hvo kazi inaendelea taratiibu.
 taraatibu tu vitaanza kubadilika
 baadhi ya vipande vya matunda yaliyokaukwa hapo vikiwa vimerembwa kidogo
 ndio hivo tena ua linaanza kupendeza kama unavoona mwenzangu. haina haraka saana
 haya sasa kitu ndio hcho ingawa hakionekani vizuri ila najua umeelewa.
 hapo kimeshakamilika tayari kwa kuwekwa ndani. muonekano wa kipekee garama nafuu kutengeneza uchafu tu wa porini pia inasaidia hata hutunza mazingira jamani

No comments: