welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Wednesday, October 12, 2011

Mrs Ebby Mtarajiwa

 ndivyo alivyoanza hapo akiingia ukumbuni kwa mbwembwe zote. Hii ni Kitchen part jamani, Aaah utamtaka
 Ni pozi tu ,,,,Ndie mwenyewe huyo Bi harusi wetu mtarajiwa baada ya kuingia ukumbini. Pendeza sana doll nani atapinga sasa?
 Hapo sasa pozi lingine hilooo unaonaje? Angalia Colour ya Bibi harusi wetu mtarajiwa na colour ya nguo yake. vilivomatch. fundisho kwetu pia hata katika maisha yako ya kila siku penda kununua nguo zenye rangi ya kuvutia kutokana na rangi yako, sio mweusi na we umepiga full nyeusi utakuwa umefifia lazima. nitakuletea tip hizo siku si nyingi
Akiwa amepozi kwenye kiti chake hapo
 Muda wa keki ukawadia na watu tukaila kama kawaida
Mama shuhuli hakukosekana jamani, Bi harusi mtarajiwa akiwa na Mama shuhuli Teresa Chilambo

No comments: