welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Monday, October 31, 2011

KUELEKEA MISS WORLD....


hapa walienda kwa Dinner la nguvu Huko Scottish maeneo ya Scottish Hydro.


Warembo wanaowania Miss world wakiwa katika picha ya pamoja kwenye  safari ya kuelekea kumtafuta Mrembo wa Dunia.

Hapa Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa kwanza kushoto akiwa katika Vazi la Ufukweni na Wenzake katika maonesho ya Mavazi hayo hapo jana.

No comments: