welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Thursday, January 19, 2012

KHADIJA'S WEDDING CEREMONY

 khadija Ismail... our Bride. sijui alikuwa antafuta nini hapo, aaaha simu yake alikuwa haioni.
 ndio wenyewe bwana na bibi wkisubiria kufungishwa ndoa
 Reception iliendelea baada ya ndoa, looking mamy with your wedding dress

Yees huyo bwana huyoo shemeji katikati na rafiki zake.

1 comment:

suby said...

wamependeza tunawatakia maisha mema