welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Sunday, January 1, 2012

TIME FOR SUBY...................... SASA..

 ilianza kama hivi, wasindikizaji walitangulia kwanza.
 baadae si ndo akatokea mwenyewe sasa? bi harusi mtarajiwa Suby Mwasa, hii Kitchen party yake jaman.. ilifanyika Police jamii Dodoma.
 Taratibu akaanza kusogea ukumbini
Mziki ukazidi kuchanganya na uzalendo ukamshinda, akaona bora ajiachie zake, siku yenyewe haijirudi hiii.
 Uhondo ukazidi kama unavomuona hataki utani


 Wadau mbalimbali walikuwepop kumfunda  kama unavowaona na sare ndio ilikuwa kitenge hicho kama unachokiona
 Yeees the Diva one, Demetrida, shuhuli yake jaman ukumbi mzima, hataki utani Dar mpaka dom si mchezo
 divas
 Crispina Hoya hakukosa kwa niaba ya Familia ya Mzee hoya, mmmh wapi sophia na mpwapwa.
The one and the only one, Little monster......

more pics to come stay tune

1 comment:

suby said...

hahahaha we msichana wewe me sikuwezi thanx