welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Thursday, February 2, 2012

THE SEND OFF DAY... SUBY

 our venue was like this
 wakiingia ukiumbini, angalia kwa nyuma vizuri, alisindiikizwa na wadogo zake wa kiume,
 Pia alisimimawa na wadogo zake kama unavoona,
 Stunning as usual, this is our Bride subira
 Prayers hazikukosekana, kila kitu kinaongozwa na mungu na hata kufika hapo ni mapenzi yake mungu
 Huu ulikuwa muda wa kupeleka cake, msimazi wake alimsaidia kuendesha hicho kigari mwenzangu.
 Bi harusi muhimu kutoa neno, ila hapa ulikuwa unakaribisha watu chakula eeh?
 with her family
 Hayaa waap Mwasambungu....
 Where is my husband to be,,, Huu muda huwa unasubiriwa na watu wengi wasiomjua bwanaharusi, haya sasa ndo huyooo
 Twende mwayatukale.. suby with haer husband mr Ventureee

Mr and Mrs Venture kama hukuwaona vizuri ndo hao sasa with happy faces
Shoga yangu jaman huyo wa sinza akiwa na bi harus.

No comments: