welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Friday, November 11, 2011

summer Accademy participants watembelea Mail and Guardian Newspaper in Johannesburg.



Participant from Summer Accademy

wakisubilia kuingia boarding room kuongea na managing director of G&M

director of G&M


 during the postmoterm session













 JENGO LA g&m KWA NJE

Monday, November 7, 2011

MISS WORLD

HATIMAYE kitendawili cha nani ataibuka Malkia wa Dunia 2011, kimeteguliwa kwa Miss Venezuela2011, Ivian Sarcos usiku wa kuamkia leo, Miss Venezuela alifanikiwa kutawazwa kuwa Malkia Mpya wa Taji la Urembo la dunia “Miss World 2011, hulku matumaini ya Tanzania kupitia kwa Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael Kifai yakigonga mwamba kwa mara nyingine tena katika mashindano hayo.

Kitchen party inaendelea








Thursday, November 3, 2011

Nelly Kamwelu Akiwakilisha


Miss International Tanzania 2011, Nelly Kamwelu akiwa na warembo wenzake 
wanaoshiriki shindano hilo la Dunia wakipanda miti.

Salha Izrael Atinga 30 Bora Ndani ya BEAUTY WITH A PURPOSE Ndanii MISS WORLD 2011 Nchini Uingereza

SALMA SHEBY MWENYEWE HUYOOOO..

 Akiingia ukumbini kwa upole mwenyewe, it was her kitchen party jaman,
 Heee music ukaanza kunoga bwana, taratibu mama shabani anaanza kujiachia
 uzalendo ukamshinda mwenzangu mapaka chini mtoto alienda. akaanza kupanda na kushuka.
 Hapo sasa kwa maringo zaidi, Conglaturation mdogo wangu hatimaye waelekea kuwa Mrs. Sheby wa ukweliii

 Kiduku pia alishtua kidogo


 Asante jaman wagen waalikwa nashukuru kwa kuja na support mliyonipa.


 Bi harusi wetu na mtoto wa mzee hoya hapo hataki utani. Asante sophy kwa kuja karibu na kwenye harusi tena


Marafiki zake walikuwepo Kumpa support. hizi ni chache matukio yote yanakuja jaman, Stay tunned tu.

Tuesday, November 1, 2011

Salha Izrael Ndani ya Shindano Maalum la kumtafuta Top Model wa Dunia


Miss Tanzania 2011, Salha Izrael Kifai akipita jukwaani na vazi la jioni wakati wa shindano maalum la kumtafuta Top Model wa Dunia ikiwa ni moja ya sehemu ya shinjdano la Miss World 2011.