welcome
dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901
Tuesday, August 30, 2011
Monday, August 29, 2011
RED CARPET -2011 MTV Video Music Awards
X -girfriend wa Kanye West model Amber Rose walikuwepo na Mpz wake Wiz Khalifa.
Kim Kardashian, ye alitoka honeymoon alipokuwa nchini Italy ili aweze kuhuduria MTV awards
Kelly Rowland
Mwanamuziki JoJo,akiwa ndani ya black dress -- that looked a little like a trash bag -- with sky-high black pumps. |
Kucha Hzo za Nicole on MTV's 'Jersey Shore' photographed katika red Carpet.
Beyonce alitangaza rasmi kuwa ni mjazito katika red carpet hiyo ya MTV awards with a red one shouder long dress
Thursday, August 25, 2011
What to wear inside the Wedding Gown
Spanx seem to very popular. Sometimes your gown requires a full slip or petticoat. Also don't forget bras, stockings, etc |
Actually it depends on the dress. you want to be comfortable.
Depending on your dress you may need a bra to help keep the girls from popping out when your dancing or help them sit "high and tight"
Proper undergarments would be anything that helps you feel more comfortable in your dress all day and looks good in pictures.Strapless bras |
strapless dresses require strapless bras the ones that come down across your stomach and lower back help it stay in place with all the dancing and such compared to your typical bra with removable straps.
Best for the girls who don’t need waist-line control.
The Bustier
The long-line Bra
Uses elastic to hold your tummy in (you can also try waist-cinchers), and your boobies up.The Nu Bra
it is best for backless or low back dresses smaller (not DD+) boobies people not allergic to adhesive
Wednesday, August 17, 2011
Fashionista wetu anga za Kagera
Fashionista wa ukweli na bibi harusi mtarajiwa totooo salma, looking good ndani ya Jeans na Kiatu chake na kikoti kwa juu, mpangilio mzuri wa mavazi. big up toto ya kagera
Monday, August 15, 2011
Victoria Beckam denim line clothes
walivaa sare na Fergie, mwanamuziki wa kundi la Black eyed peas. Hizi ni clothing line zake mwenyewe na hupenda kujipa promo mwenyewe |
| ||||||||||
Ana leggins zake nzuri, zina zipu flan za dizaini. and for those who love leather pants hapo ndio penyewe kam hizo hapo |
Pia ana skinny denim jeans zake, its very nice and mart. |
JEANS: vazi lisiloisha fashion
Friday, August 12, 2011
Miss Tanzania Yaanza Kuiva
Meneja wa Kinywaji cha Redd's ambao ni wadhamini wa mashindano ya urembo ya Kanda zote za Tanzania, Victoria Kimaro, (katikati) akizungumza na wanyange wanaowania taji la Miss Tanzania, Dar es Salaam jana, warembo hao wanatarajia kuanza ziara leo katika mikoa ya Morogoro, Arusha na Moshi kwa ajili ya kutembelea vivutio mbalimbali.
Friday, August 5, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)