welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Monday, July 25, 2011

Redd's Miss Kinondoni



Mshindi wa kwanza wa mashindano ya Redd's Miss Kinondoni, Stela Mbuge, katikati akiwa katika sura ya furaha muda mfupi baada ya kutangazwa kuwa mshindi, (kushoto) ni mshindi wa pili Husna HMaulisi na (kulia) ni mshindi wa tatu Hamisa Hassan. Fainali hizo zilifanyika juzi katika Ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam.(Picha na Victor Mkumbo)

No comments: