welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Friday, April 8, 2011

Stefani Germanotta a.k.a Lady Gaga.



Stefani Joanne Angelina Germanotta (alizaliwa Machi 28, 1986) anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii Lady Gaga, from Amarica ni mwimbaji na mtunzi. After performing in the rock music scene of New York City's in 2003 na baadaye kujiandikisha katika shule ya sanaa ya Tisch New York University alisaini mkataba na Streamline Records, an imprint of Interscope Records. akiwa Interscope, alikuwa mtunzi kwa wasanii wenzake wa label moja na kufanikiwa kumteka mwanamuziki Akon ambaye alitambua uwezo wake na kuamua kumchukua katika label yake ya na saini yake ya Kon Live Distribution.

No comments: