welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Friday, April 8, 2011

Matatizo Ya kutengeneza kucha saloon.

daima kutengeneza kucha saloon unajiweka katika hatari ya kuambukizwa magonjwa.
 
yahoo reported that karibu wateja milioni moja  wanaenda saloon saloon na maambukizi ya fungus, bacteria and other infections. asilimia kubwa za saloon hazifuati taratibu za kuzuia hizi infection.


Pia kudilute rangi kwa kutumia remover it has an disadvantages katika kucha yako,kwanza ubora wa rangi unapotea madhara yake kucha zinaanza kubadilika rangi mwisho wa siku kucha inakuwa weak.






 Just because there is no blood, doesn't mean you haven't been cut
 sometimes kuchimba ngozi inaweza kuonekana kwa microscope yanweza yakatokea wakati unakatwa kucha au kuchongwa kuchwa inaweza ikatoa damu au isitoke ni rahisi kuambukizwa magojnwa toka kwa mteja mmoja hadi mwingine.


Not all disinfecting solutions are 100 percent effective kwa mfano wapo wanaoosha kwa spirit sometimes inakuwa imekaa muda mrefu na imexpire but just because is the spirit thay use it.

No comments: