welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Monday, September 23, 2013

Who is Al shabaab


jina Al-Shabab linamaanisha Kijana kwa lugha ya kiarabu. Kundi hilo liliibuka kama tawi la vijana la muungano wa mahakama za kiislmau ambao baadaye ulivunjika mwaka 2006, wakati ilipopigana na wanajeshi wa Ethiopia waliokuwa wameingia nchini Somalia kuunga mkono serikali iliyokuwa dhaifu.
Kundi hilo limeweka sheria kali za kiisilamu katika maeneo ambayo linadhibiti ikiwemo kupigwa kwa mawe hadi kufa wanawake wanaodaiwa kufanya uasherati pamoja na kuwakata wezi mikono.

Je Al Shabaab linadhibiti sehemu gani ya Somalia?

Ingawa kundi hilo limepoteza udhibiti, wa miji mikubwa, bado linakita mizizi katika maeneo ya mashinani.
Lililazimika kuondoka katika mji mkuu Mogadishu, mwezi Agosti mwaka 2011 na pia kuondoka katika mji wa bandarini wa Kismayo mwezi Septemba mwaka 2012.
Kismayo ulikuwa mji muhimu kwa kundi hilo, ambao ulikuwa unawezesha bidhaa kuwafikia wapiganaji wa kundi hilo pamoja na kuwatoza watu ushuru kwa shughuli zao.
Muungano wa Afrika, ambao unaunga mkono juhudi za majeshi ya serikali, ulisherehekea ushindi huo ingawa al-Shabab hunfanya mashambulizi ya mara kwa mara ya kujitoa mhanga mjini Mogadishu na kwingineko.
Wadadisi wanaamini kuwa al-Shabab limeanza kufanya mashambulizi ya kuvizia baada ya kushindwa na majeshi ya Muungano wa Afrika wanaotumia nguvu dhidi yao.
Lakini linakabiliwa na tisho kubwa kutoka kwa wanajeshi wa Kenya walianza hatarakti zao dhidi ya kundi hilo kuanzia mwaka 2011.
Kenya ilituhumu wapiganaji wa al-Shabab kwa kuwateka nyara wanajeshi wake pamoja na watalii na sasa wamekuwa katika msitari wa mbele kupambana na kundi hilo la kigaidi.
Wakati huo, wanajeshi wa Ethiopia waliweza kukabiliana na wapiganaji hao na kudhibiti miji ya Beledweyne na Baidoa.

Nani kiongozi wa al-Shabab?

Ahmed Abdi Godane ndiye kiongozi wa kundi hilo. Anajulikana kama Mukhtar Abu Zubair, na anatoka katika jimbo la Somaliland.
Kumekuwa na taarifa za mgawanyiko katika kundi hilo, ambazo hata hivyo zinapingwa vikali na kundi lenyewe. Inaarifiwa kuwa uongozi wake unapingwa, na wanachama wanaotoka maeneo ya Kusini na ambao ni wengi katika kundi hilo. Inakisiwa idadi yao ni kati ya wanajeshi 7,000 na 9,000.
Bwana Godane huwa haonekani hadharani . Mtangulizi wake Moalim Aden Hashi Ayro, aliuawa katika shambulizi lililofanywa na Marekani mwaka 2008.

Nini uhusiano wa kimataifa wa kundi hilo?

Al Shabaab wakifanya mashambulizi mjini Mogadishu
 
Al-Shabab lilijiunga na al-Qaeda mwezi Februari mwaka 2012. Katika ujumbe wa Video, kiongozi wa al-Shabab Ahmed Abdi Godane alisema anaahidi kuunga mkono kingozi wa al-Qaeda Ayman al-Zawahiri.
Makundi hayo mawili yamekuwa yakifanya kazi kwa pamoja, na raia wa kigeni wamekuwa wakiunga mkono kundi hilo, na hata kuwasaidia katika harakati zao za mapigano.
Mwaka jana maafisa wa al-Shabab waliambatana na mtu aliyesema ni mwanachama wa al-Qaeda na kumtambua kuwa raia wa Marekani Abu Abdulla Almuhajir alipokuwa anatoa msaada wa chakula kwa waathiriwa wa njaa.
Maafisa nchini Marekani wanaamini kuwa wapiganaji wa Al Qaeeda ambao hawajahusina sana na mashambulizi nchini Afghanistan na Pakistan kufuatia mauaji ya kiongozi wao,Osama bin Laden, wapiganaji wake wengi wanakwenda kutafuta hifadhi nchini Somalia.

Tuesday, September 17, 2013

HELLOO GERMANY




 one of the blogger from Zimbabwe akitoa mada katika Media Congress iliyofanyika Germany Mwezi huu
 The Blogger from ghana presenting about creating the New Africa Image. Moja ya point zake ni kuwa no more news about poverty and other blaa blaa in Africa nw,the new Africa  is  full of creativity, trade and entrepreneurship
 These are lady from Germany

Bloggers in Discussion
 Presentation zilikuwa zakutosha especially for bloggers and others

Wilhelmina Bridge" ni daraja linalotenganisha e mji mkongwe wa Hamburg na mji mpya wa Hamburg nchini Ujerumani. hizo kufuli zinazooneka ni ishara ya viapo vya wanandoa wengi mjini humo ambapo baada ya kufunga ndoa huja na kufuli zao na kuzibana hapo kama ishara ya kulitunza penzi l;ao hadi kifo kitakapowatenganisha

  
The msosi time
Participants in the public transport hapo ni ndani ya train kama ya mwakyembe


And the shopping too

 The goodtimes in Hamburg

Thursday, September 5, 2013

WHITE PARTY LUDA ILIVOFANA


Future, Larenz Tate, and Ludacris
 

Eudoxie arrives with LeToya Luckett and Ludacris
Ludacris
LeToya Luckett and Eudoxie Attend LudaDay's White Party
Letoya Luckett & Eudoxie
Teyana Taylor and Terrence J attend LudaDay Weekend White Party
Teyana Taylor  posed with Terrence J.
Teyana Taylor arrives at LudaDay's White Party
Ludacris and Usher attends LudaDay Weekend White Party
Usher
Tahiry Jose attend LudaDay White Party 5

  Tahiry Jose
Tahiry Jose and Angela Yee LudaDay White Party
Tahiry also gave a back view while posing with Angela Yee.
Usher and LeToya Luckett attends LudaDay Weekend White Party
Usher & Letoya Luckett

Kenny Burns, Ludacris, Usher, Larenz Tate, and Tyrese
The fellas: Kenny Burns, Ludacris, Larenz Tate, Usher, & Tyrese.

Inakuja: FILAMU YA MAISHA YA NELSON MANDELA YATOKA


Winnie Mandela
Not only does Jennifer Hudson star as Winnie Mandela in the upcoming biopic, she also lends her powerful voice to the soundtrack. The Oscar winner pours her heart out on “Bleed for Love” featuring South Africa’s Soweto Gospel Choir. The big ballad was written by Diane Warren and produced by Harvey Mason Jr., Laurent Eyquem, and David Franco.
“‘Bleed for Love’ has such an incredible and meaningful message about the power of love and the extension of the human heart,” said Hudson. “Diane wrote a beautiful song and it was an honor to work with her and the rest of the team to create this powerful piece of music.”
The Winnie Mandela soundtrack is available now, while the film hits theaters on Sept. 6.
Listen to J-Hud deliver chills with her stirring song.