Tukio hilo limetokea
baada ymalumbano
kati ya NANDO na ELIKEM yaliyotokea Ijumaa ambapo walitukanana sana,
lakini chanzo cha ugomvi huo kikionekana kua ni Nando.
Mbali na ugomvi huo NANDO
aliwahi kukamatwa na KISU katika party ya Channel O jumamosi moja
akapewa onyo. Ugomvi wa Ijumaa lilikuwa kosa la 2 na kosa la 3
aliloambiwa kwenye diary room ni kuongea maneno ya vitisho dhidi ya
ELIKEM kua..."I feel like stabbing him. A nigga like that deserves to
die".Pamoja na kukamatwa na Mkasi chini ya kitanda chake, basi bwana
NANDO safari yake ikawa imeishia hapo.