welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Tuesday, April 2, 2013

WHAT A BIG LOSS?

Ikiwa ni siku chache tu zimepita tangu Tanzania tupate janga la Kuanguka kwa gorofa lililokuwa linajengwa  mtaa wa Indira Gandhi



Mpaka nleo hii bado shuhuli za kuokoa bado zinaendelea tanzania tunapata janga lingine tena huko jijini Arusha eneo la mgodini ambapo watu zaidi ya 20 sasa wanasadikiwa kufukiwa na kifusi hicho ambao walikuwa wakichimba  mchanga aina ya Moramu katika machimbo  yaliyopo Moshono nje kidogo ya jiji la Arusha.

Mungu tusaidie.

No comments: