kwa Taarifa zilizothibitishwa na Young Money Lil Wayne is out of the hospital, Lil wyne ambae ana historia ya kusumbuliwa na ugonjwa unaojulikana kwa jina la seizures (Kifafa) alikuwa amelazwa since last week. hatimaye mungu mkubwa ameruhusiwa na anaendelea vizuri
No comments:
Post a Comment