welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Thursday, February 14, 2013

Rest In Peace Goldie Harvey

 Ts so sad... Nigerian singer Goldie Harvey is dead.Pia alikuwa mshiriki katika Jumba la Big brother season iliyopita. akiwa ndani ya Jumba hilo pia alikuwa na uhusiano na Mwanamuziki wa Kenya Prezzo ambae still bado walikuwa wanaendelea na mahusiano yao. n way hii inatukumbusha kuwa Maisha ya binadamu ni Mafupi sana....
Alikuiwa ametoka Kuhudhuria Tuzo za Grammy Nchini Marekani.

No comments: