welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Saturday, August 4, 2012

After Syeduuu sasa ni zau ya Keagan

Ikiwa inakaribia mwisho wa mchezo wa BBA Talia Na Keagan wameamua kujiachia kivyao. Ikumbukwe siku za nyua Talia alikuwa akijiachia na shiriki wingine Syeduu ambae ye alishatoka ndani ya jumba hilo sasa naona Keagan imekuwa zamu yake kwa talia

No comments: