welcome
dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901
Wednesday, November 6, 2013
Tuesday, November 5, 2013
FRESHER'S BALL PARTY- College of agriculture and Natura resources (CANRE)
meza kuu ilipambwa na wakurugenzi pamoja na wageni Waalikwa
CANRE ni chuo cha kilimo na mali asili na hii ni sherehe yao
ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza kama walivoandaliwa na uongozi wa chuo
Meza kuu walifungua Mziki pamoja na viongozi wa chuo cha kilimo
wanafunzi nao hawakubaki nyuma walijimwaga kama hivo
Asiejua step alikaa mstari wa nyuma, Papaa Meshack
Baadhi ya viongozi wakiwa mbele wakati wa kula kiapo cha kuapishwa kama viongozi
And the Mr and Miss CANRE wakatangazwa hao hapo. Sayi Johola and Hadija Shomari
Mr CANRE akitoa ya kwake ya moyoni kuelezea furaha yake
Muda wa msosi nao ukawadia,, Maadam kwa mbaliii ametokelezea
Kulikuwa na fashion shoo nyingi moja wapo ilifanywa na hao madel wetu Diana Mussa na Elizabethy kessy
Baba laoo
Hee lucy huyo na best akeee
GREEN CARPERT HIYOO. hiki ni chuo cha kilimo so hakuna red carpert tunaonyesha asili yetu ya kilimo. tulipozi kwenye majani tu
Pozi kwa pozii
Vice president na baba lao nao walipozi kwenye green carpet
Wakiweka pozi kwenye
Double D na Babu ndani ya pozi
Monday, November 4, 2013
Thursday, October 31, 2013
WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA KONYAGI (TDL) WALIOKWENDA KUONA MECHI YA BARCELONA NA REAL MADRID,HISPANIA WAREJEA WAKIWA NA BASHASHA TELE
Mfanyakazi wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited
(TDL), Khadija Madawili ambaye alikuwa kiongozi wa msafara wa
wafanyakazi wa TDL waliokwenda kushuhudia pambano la Ligi ya La Liga ya
Hispania kati ya Barcelona na Rael Madrid, akirejea jana kwenye Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Wafanyakazi
watano wa TDL, waliteuliwa baada ya kampuni hiyo kushinda Tuzo ya
SABMILLER AFRICA MB COMPLEMENTARY BEVERAGE CATEGORY AWARD FOR F 13)
Joseph Chibehe (kushoto) akilakiwa na mkewe baada ya kuwasili
Chibehe akiwa na furaha baada ya kulakiwa na mkewe
Bavon Ndumbati (kushoto), akilakiwa na ndugu yake. Katikati ni Michael Mrema
Bavon akiwa na furaha
Mwesiga Mchuruza.
Joseph Chibehe (kushoto) akilakiwa na mkewe baada ya kuwasili
Chibehe akiwa na furaha baada ya kulakiwa na mkewe
Bavon akiwa na furaha
Mwesiga Mchuruza.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Konyagi ya Tanzania Distilleries Limited
(TDL), David Mgwassa (katikati), akiwa na mabosi wa kampuni mama ya
SABMILLER AFRICA.wakiwa wameshikilia tuzo hiyo ya MB COMPLEMENTARY
BEVERAGE CATEGORY AWARD FOR (F 13).
KAMPUNI ya Tanzania Distilleries Ltd, (KONYAGI) ambayo ni miongoni mwa kampuni tanzu za Kampuni ya Sabmiller South Africa, imeshinda tuzo ya utendaji bora wa bidhaa (SABMILLER AFRICA MB COMPLEMENTARY BEVERAGE CATEGORY AWARD FOR F 13). Sabmiller inamiliki zaidi ya viwanda 60 vya bia na vinywaji vingine duniani.
Baada ya ushindi huo, Mkurugenzi Mkuu wa TDL, Mgwassa ambaye alipambana mpaka kupata ushindi huo, aliamua kuwazawadia baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo, kwenda Hispania kushuhudia pambano la timu kubwa za Barcelona na Real Madrid lililofanyika mwishoni mwa wiki.
Wafanyakazi waliokwenda Hispania na kurejea jana usiku kwa ndege ya Afrika Kusini ni; Joseph Chibehe, Khadija Madawili, Bavon Ndumbati, Michael Mrema na Mwesiga Mchuruza.
Wafanyakazi hao, walipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, walionekana kuwa na bashaha na kupokelewa na ndugu zao pamoja na baadhi ya wafanyakazi wenzao.
Akizungumza kwa niaba ya wenzie,Michael Mrema wa Kanda ya Kaskazini, alisema kuwa wanashukuru uongozi kuwapa zawadi hiyo, ambayo imewafanya kuwa na morari mpya wa kazi.
Pia anaseama walifurahi sana kushuhudia mechi hiyo kubwa ya timu za Barcelona na Real Madrid ambapo timu ya Barcelona waliyokuwa wanaishabikia kushinda mabao 2-1.

Friday, October 11, 2013
Jane's Night... congratulation Maa (intro pics)
alianza kama hivi
mzuka ukapanda, akiwa na msimamizi wake
Mw eneywe huyo... Bi harusi Mtarajiwa.
loading..........
Monday, September 23, 2013
Who is Al shabaab
jina Al-Shabab linamaanisha Kijana kwa lugha
ya kiarabu. Kundi hilo liliibuka kama tawi la vijana la muungano wa
mahakama za kiislmau ambao baadaye ulivunjika mwaka 2006, wakati
ilipopigana na wanajeshi wa Ethiopia waliokuwa wameingia nchini Somalia
kuunga mkono serikali iliyokuwa dhaifu.
Kuna taarifa chungu nzima kuhusu wapiganaji wa kiisilamu wanaokwenda Somalia kupigania Al Shabaab.
Kundi hilo limeweka sheria kali za kiisilamu
katika maeneo ambayo linadhibiti ikiwemo kupigwa kwa mawe hadi kufa
wanawake wanaodaiwa kufanya uasherati pamoja na kuwakata wezi mikono.
Je Al Shabaab linadhibiti sehemu gani ya Somalia?
Ingawa kundi hilo limepoteza udhibiti, wa miji mikubwa, bado linakita mizizi katika maeneo ya mashinani.
Lililazimika kuondoka katika mji mkuu Mogadishu,
mwezi Agosti mwaka 2011 na pia kuondoka katika mji wa bandarini wa
Kismayo mwezi Septemba mwaka 2012.
Kismayo ulikuwa mji muhimu kwa kundi hilo, ambao
ulikuwa unawezesha bidhaa kuwafikia wapiganaji wa kundi hilo pamoja na
kuwatoza watu ushuru kwa shughuli zao.
Muungano wa Afrika, ambao unaunga mkono juhudi za majeshi ya
serikali, ulisherehekea ushindi huo ingawa al-Shabab hunfanya
mashambulizi ya mara kwa mara ya kujitoa mhanga mjini Mogadishu na
kwingineko.
Wadadisi wanaamini kuwa al-Shabab limeanza
kufanya mashambulizi ya kuvizia baada ya kushindwa na majeshi ya
Muungano wa Afrika wanaotumia nguvu dhidi yao.
Lakini linakabiliwa na tisho kubwa kutoka kwa wanajeshi wa Kenya walianza hatarakti zao dhidi ya kundi hilo kuanzia mwaka 2011.
Kenya ilituhumu wapiganaji wa al-Shabab kwa
kuwateka nyara wanajeshi wake pamoja na watalii na sasa wamekuwa katika
msitari wa mbele kupambana na kundi hilo la kigaidi.
Wakati huo, wanajeshi wa Ethiopia waliweza kukabiliana na wapiganaji hao na kudhibiti miji ya Beledweyne na Baidoa.
Nani kiongozi wa al-Shabab?
Ahmed Abdi Godane ndiye kiongozi wa kundi hilo. Anajulikana kama Mukhtar Abu Zubair, na anatoka katika jimbo la Somaliland.
Kumekuwa na taarifa za mgawanyiko katika kundi
hilo, ambazo hata hivyo zinapingwa vikali na kundi lenyewe. Inaarifiwa
kuwa uongozi wake unapingwa, na wanachama wanaotoka maeneo ya Kusini na
ambao ni wengi katika kundi hilo. Inakisiwa idadi yao ni kati ya
wanajeshi 7,000 na 9,000.
Bwana Godane huwa haonekani hadharani .
Mtangulizi wake Moalim Aden Hashi Ayro, aliuawa katika shambulizi
lililofanywa na Marekani mwaka 2008.
Nini uhusiano wa kimataifa wa kundi hilo?
Al-Shabab lilijiunga na al-Qaeda mwezi Februari
mwaka 2012. Katika ujumbe wa Video, kiongozi wa al-Shabab Ahmed Abdi
Godane alisema anaahidi kuunga mkono kingozi wa al-Qaeda Ayman
al-Zawahiri.
Makundi hayo mawili yamekuwa yakifanya kazi kwa
pamoja, na raia wa kigeni wamekuwa wakiunga mkono kundi hilo, na hata
kuwasaidia katika harakati zao za mapigano.
Mwaka jana maafisa wa al-Shabab waliambatana na
mtu aliyesema ni mwanachama wa al-Qaeda na kumtambua kuwa raia wa
Marekani Abu Abdulla Almuhajir alipokuwa anatoa msaada wa chakula kwa
waathiriwa wa njaa.
Maafisa nchini Marekani wanaamini kuwa
wapiganaji wa Al Qaeeda ambao hawajahusina sana na mashambulizi nchini
Afghanistan na Pakistan kufuatia mauaji ya kiongozi wao,Osama bin Laden,
wapiganaji wake wengi wanakwenda kutafuta hifadhi nchini Somalia.
Subscribe to:
Posts (Atom)