Rais wa MarekaniBarack Obama amewashukuru wote waliojitolea kwa moyo mmoja ikiwa ni pamoja na baadhiya wafanyakazi kwa kujitolea juu yake katika kipindi chote cha kampeini mpaka siku ya uchaguzi, Novemba 6, 2012,naalimpongezampinzani wake Mitt Romneykatikakampeni zake.
Cute Nichelle unakua jaman, mungu akuzidishie ukue haraka maana i cant wait to see ukishauwa mdada utasumbuaje sasa? dady wako anakazi hapo inabid atafute weapons za kutosha.