welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Wednesday, October 26, 2011

PARTY in STYLE 29 OCTOBER 2011


SWAHILI FASHION WEEK, EAST AND CENTRAL AFRICA LARGEST FASHION EVENTS
OFFICIAL LAUNCH PARTY
  ON THE 29THOCTOBER  AT THE THAI VILLAGE, MASAKI FROM 9 PM ONWARDS.
PARTY WITH HARDCORE FASHIONISTAS, MODELS, DESIGNERS, CELEBRITIES AND THE WHO IS WHO OF TANZANIA.
SWAHILI FASHION WEEK IS THE TALK OF THE TOWN, THE LAUNCH PARTY IS JUST THE BEGINNING, DRESS TO IMPRESS, DEFINE FASHION,
GET YOUR GROOVE READY TO HIT THE STYLISH DANCE FLOOR

Wednesday, October 12, 2011

Mrs Ebby Mtarajiwa

 ndivyo alivyoanza hapo akiingia ukumbuni kwa mbwembwe zote. Hii ni Kitchen part jamani, Aaah utamtaka
 Ni pozi tu ,,,,Ndie mwenyewe huyo Bi harusi wetu mtarajiwa baada ya kuingia ukumbini. Pendeza sana doll nani atapinga sasa?
 Hapo sasa pozi lingine hilooo unaonaje? Angalia Colour ya Bibi harusi wetu mtarajiwa na colour ya nguo yake. vilivomatch. fundisho kwetu pia hata katika maisha yako ya kila siku penda kununua nguo zenye rangi ya kuvutia kutokana na rangi yako, sio mweusi na we umepiga full nyeusi utakuwa umefifia lazima. nitakuletea tip hizo siku si nyingi
Akiwa amepozi kwenye kiti chake hapo
 Muda wa keki ukawadia na watu tukaila kama kawaida
Mama shuhuli hakukosekana jamani, Bi harusi mtarajiwa akiwa na Mama shuhuli Teresa Chilambo

Wednesday, October 5, 2011

LETS TALk ON WOMEN'S DRESS SHOES.

Blue suede shoes never looked so good.

Faux-Suede Wedge Booties, these wedge bootie go with just about everything



Patent Ballerina Flat, his neon shade is too adorable to pass up.


Velvet "Valerina" Ballet Pumps

Womens Dress Pumps from Steve Madden


All eyes will be on you, it has a Leather or patent upper with a Man-made lining. Sexy


This is very adorable, stylish platform heels. Featuring, canvas upper, round vamp and round peep toes.

This very adorable yet stylish MaryJane platform heels. Featuring, smooth velvet, mid buckle strap closure, round vamp, round...

Very stylish pump heels featuring animal print with faux leather upper, almond shaped closed toe and smooth lining,   

Friday, September 30, 2011

Beyonce Hates the Way Jay-Z Smells Now

Kama ilivo kwa wanawake wengi pindi wanapopata ujauzito mabadiliko mbalimbali hutokea katika maisha yao, ikiwa pamoja na kuchagua vyakula au kupenda aina fulani y chakula lakini kwa mwanamuziki Beyonce anasema kuwa since amepata ujauzito badiliko la kwanza kuliona ni kuchukia.

alisema hayo alipokuwa anapromote perfume yake mpya.  "I smell everything," she said. "If it smells bad, I smell it. My husband's fragrance, his one that I always love, I hate right now. So thank God I have this one!" alisema beyonce

Thursday, September 29, 2011

SASA ZAMU YA MISS UTALII DODOMA

Jumla ya warembo kumi na tano toka wilaya zote za mkoa wa Dodoma, wanatarajiwa kushindana vikali katika shindano la kumpata mrembo wa utalii wa mkoa wa Dodoma linalotarajiwa kufanyika 22-10-2011

Wednesday, September 28, 2011

Mabadiliko Tabianchi na Jinsi

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng Ngosi Mwihava akisalimiana na Mshauri Muelekezi Taasisi ya{IUCU}Bw Francois Rogers Mara Baada ya Kufungua Warsha ya Mkakati wa Mabadiliko ya Tabianchi na Jinsia kulia Msaidizi Mshauri Mwelekezi{IUCU}Bi Lorena Aguilar Warsh Imefanyika kwenye Hotel ya JB jengo la Benjamin Mkapa Mjini Dar es Salaam.
Baadhi ya Washiriki wa Warsha ya Mkakati wa Mabadiliko ya Tabianchi na Jinsia wakimsikiliza Mgeni Rasmi Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng Ngosi Mwihava{pichani hayupo}Warsha iliyofanyika Jengo la Benjamini Mkapa kwenye Hotel ya JB