welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Wednesday, September 28, 2011

K'BEST GENERAL SUPPLY NA MAAJABU YAO YA UBUYU

managing Director of K'best General supply, Kibibi Japhary
 They Specialized in Baobab tree. wameonesha maajabu ya uguyu yanavyoweza kutibu magonjwa mengi kwa wakati mmoja.

Kibibi Japhary anabainisha  product mbili tu zinazotengenezwa na K'best General suply ambazo ni Baobab Oil na Baobab Powder(unga na mafuta ya ubuyu) zaidi ya magonjwa 20 huponywa na products hizotu.

anasema kuwa imeshaonesha maajabu katika magonjwa kama Figo na Ini, husaidia kutengeneza sukari iwe katika kiwango kinachotakiwa, pia inatoa coresto ndani ya mishipa ya damu, kuimarisha kucha na nywele pia ni tiba ya mifupa.

hayo ni magonjwa ambayo hutibiwa na mafuta ya ubuyu tu ambapo pia ni mafuta mazuri sana kwa watu wenye ulemavu wa ngozi(albino), yanasaidia kuongeza CD4 mwilini. kwa vijana walioathirika na madawa ya kulevya pia huwasaida kuondokana na arosto hivyo kuacha kabisa. hutibu kabisa vidonda vya tumbo ndani ya siku 15. yanaondoa chunusi, fangasi na upele pia mba na magonjwa mengi sana.
"Ukiangalia upande wa unga wa ubuyu na vitamin C nyingi sana vya kutosha hivo husaidia kuongeza kumbukumbu kwa kiwango kikubwa sana, bila kusahau CD4 na pia ni Lishe nzuri sana kwa watoto". alisema Kibibi Japhary

"Zao hili la ubuyu limekuwa Tiba kwa watu wengi na husaidia kweli kama utatumia kama inavotakiwa ila angalizo wapo watu wanaotengeneza mafuta haya kwa kuchanganya na Alizeti hivo hushindwa kusaidia kitu. Kama kweli unataka kuondokana na Magonjwa mbalimbali hakikisha unanunua products hizi kwa mtu unaemjua na unauhakika nae kama sivyo utapata yaliyochakachuliwa" alimazia Kibibi

LEOPARD JEANS: ARE YOU IN LOVE WITH THIS TREND?


Tuesday, September 27, 2011

MASHINDANO YA NYAMA CHOMA

Mkurugenzi Mkuu wa TDL Bwana David Mgwasa akiwa na Wadau wa kampuni hiyo akiwaelekeza wine za Dodoma wine, Image wine na vinywaji vingine katika mashindano ya nyama choma.
wadau wakipata nyama choma wakishushia na imagi wine kwa pembeni
vivazi pia vilikuwepo, kama hivo hapo.
Mambo yalinoga saana, dodoma wine ilinunuliwa kama karanga vile, chupa moja ilikuwa ikienda kwa shilingi 10,000.

Friday, September 23, 2011

Wednesday, September 21, 2011

U-Hair wa Cheryl Cole

Time for Movie Talk!!!!!!..............

If you have seen the movie Contagion, you have seen how a virus like the flu can quickly and easily travel around the …



is an epidemic thriller film directed by Steven Soderbergh, following the rapid spread of a deadly virus. 

  begins on a state of high alert and stays there for the rest of the movie. Returning home to her family in Minneapolis from business in Hong Kong, Beth Emhoff (Gwyneth Paltrow) comes down with virulent symptoms that, within two days, leave her dead and doctors with no answers. Soon the contagion spreads into a global pandemic.

Monday, September 19, 2011

Lion King yashika chart tena kwenye box office

Surprising some analysts, the 3D enhanced re-release of Disney's 1994 classic has stormed to the top of the U.S. box office, and kept some high-profile movies at bay in the process.

It has been 17 years since the film first came out, but it appears to have lost none of the charm that made it such a global smash first time around. Disney will be delighted with the results – the gamble to tamper with one of its most cherished titles has clearly paid off.