welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Thursday, September 8, 2011

Friday, September 2, 2011

SISTERS!!

Kardashian sisters
Kourtney K. this is the big sisters, look on her outffit
Kim K mwenyewe, ni wa pili kuzaliwa. wengine watakuja siku nyingine

Monday, August 29, 2011

another from Mustafahassanali


RED CARPET -2011 MTV Video Music Awards


X -girfriend wa Kanye West model Amber Rose walikuwepo na Mpz wake Wiz Khalifa.
 

Kim Kardashian, ye alitoka honeymoon alipokuwa nchini Italy ili aweze kuhuduria  MTV awards




Kelly Rowland
Mwanamuziki JoJo,akiwa ndani ya  black dress -- that looked a little like a trash bag -- with sky-high black pumps.

Kucha Hzo za Nicole on MTV's 'Jersey Shore' photographed katika red Carpet.


Beyonce alitangaza rasmi kuwa ni mjazito katika red carpet hiyo ya MTV awards with a red one shouder long dress