welcome

dear viewers... karibuni katika blog yetu. kwa mawasiliano zaidi utatupata kwa email nicarwag@gmail.com. simu 0758921901

Monday, August 15, 2011

JEANS: vazi lisiloisha fashion

A skinny boyfriend jeans are so hot. hata Kim K, anayo ya kwake.



hizi zinaitwa Women's boyfrined jeans.

Friday, August 12, 2011

Miss Tanzania Yaanza Kuiva


Meneja wa Kinywaji cha Redd's ambao ni wadhamini wa mashindano ya urembo ya Kanda zote za Tanzania, Victoria Kimaro, (katikati) akizungumza na wanyange wanaowania taji la Miss Tanzania, Dar es Salaam jana, warembo hao wanatarajia kuanza ziara leo katika mikoa ya Morogoro, Arusha na Moshi kwa ajili ya kutembelea vivutio mbalimbali.

Tanzania Women Entrepreneurs & Network Development Exposition (TWENDE)


Friday, August 5, 2011

Thursday, July 28, 2011

AINA 10 ZA MITINDO YA NYWELE.

Long and Simple
Keep it simple!  It can be straight — slight curls are okay — but in general girls should keep it long and in good condition. long hair looks more feminine.

 Long and Wild
 looks hot. But I can also get down with a really structured short haircut. The trick is to match your hair with your face shape, and your persona. This may come as a surprise to a lot of women. 

Messy Bob
it makes the back of women fair neck look so appealing. 


Pixie Cut short hair it's strong and powerful."

Retro Bangs
This is the style of late '60s long bangs with longer hair look. it has certainly capture the attention many women right now..

Short and punky
Soft Layers

it's more interesting than just straight hair. Blunt haircuts make girls look too harsh, and they're not contemporary — if the hair is too structured, it can be distracting and intimidating.

The Ponytail
Simple ponytail even with no makeup looks smart. 

Vivid Hues
With vivid colors. The style itself, and whether it looks good, will change with the times and who is wearing it.

Classic Coifs
It more classic hairstyles, that might also be my preference for redheads."

Monday, July 25, 2011

Redd's Miss Kinondoni



Mshindi wa kwanza wa mashindano ya Redd's Miss Kinondoni, Stela Mbuge, katikati akiwa katika sura ya furaha muda mfupi baada ya kutangazwa kuwa mshindi, (kushoto) ni mshindi wa pili Husna HMaulisi na (kulia) ni mshindi wa tatu Hamisa Hassan. Fainali hizo zilifanyika juzi katika Ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam.(Picha na Victor Mkumbo)

THE great loss


Mwanamuziki Amy Winehouse amefariki jumamosi akiwa na umri wa miaka 27, The singer's body was found on Saturday at her home in Camden, north London.

the funeral would be held as soon as possible, but the post-mortem examination and police investigation have made it impossible to set a date.